moja ya changamoto kubwa inayowasumbua watu wengi ni uelewa juu ya upigaji windows, au uwekaji wa opareting systems.
kupitia somo hili nitakuelekeza vitu muhim unavyopaswa kuvifanya baada ya kuweka windows kwenye computer yako.
vitu hivi ni muhim kwasababu vitakusaidia kuepuka matatizo mengi sana.
na unaaswa kuvijua hivi kwasababu mafundi wengi huwa hawafanyi hivi(sijui hawajui umuhimu wake, au hawajui taratbu za upigaji windows, au ni haraka zao tu, sijui)
kabla ya kuanza somo hili niseme mambo machache.
1. kama unahitaji kujifunza masomo mbalimbali ya computer kwa undan zaidi basi nakushauri jiunge na darasa langu linalopatikana online, kupitia darasa hilo utajifunza masomo mbalimbali kama vile Microsoft Word, Excel, graphics design, jinsi ya kutengeneza blog, jins ya kutengeneza website, jinsi ya kuagiza vitu kutoka china. gharama za masomo haya zinatofautiana kulingana na aina ya somo.
masomo.yote yanatolewa kwa njia ya video hatua kwa hatua, na usipoelewa unaruhusiwa kuuliza chochote.
kama unahitaji nichek kwa email yangu mjuzishule@gmail.com.
kama unataka tricks nyingi kama hizi bas download app yangu kupitia PLAYSTORE inaitwa OBBY MJUZI ili uweze kufurahia masomo mengi zaidi.
karibu darasani.
1.tengeneza restore point.
hii itakusaidia kuiponya computer yako mara itakapopata tatzo lolote mfano kuzima ghafla, kuingiliwa na virus, windows ku collupse na matatzo mengine.
jinsi ya kutengeneza Restore Point
1.Bonyeza windows button na R kisha andika sysdm.cpl kama inavyoonekana hapa chini. hii itafungua system properties

2.angalia juu utaona sehem wameandila system protection, click hapo na chagua configure.

3. chagua Turn on system protection halafu bonyeza OK.

hapo utakuwa umemamaliza, sasa kuna tabia ya hii restore point kuwa inajizima kila baada ya masaa 24. tunapaswa kuiondoa hili swala kw akufuata maelekezo haya hap chini
1. bonyeza windows button na R tena kusha andika regedit halafu bonyeza enter.
2. Binyeza HKEY_LOCAL_MACHINE kisha SOFTWARE kisha Microsoft kisha Windows NT kisha CurrentVersion kisha SystemRestore.
3.Right-click SystemRestore af chagua New ->DWORD (32-bit) Value.

andika bila SystemRestorePointCreationFrequency bila kuacha nafasi kisha kwenye value data hapo iache 0

itaendelea......
imeandikwa na
OBBY MJUZI
KUTOKA WATU MAKINI TECHNOLOGIE
©2021
0 Maoni