katika somo la leo utakwenda kujifunza jinsi ya kujua password ya wirless au wifi uliyoisahau au uliyowekewa bila.kujua.
somo hili ni kwaajili ya kujifunza tu.
kabla sijaanza somo hili niseme mambo machache.
1. kama unahitaji kujifunza masomo mbalimbali ya computer kwa undan zaidi basi nakushauri jiunge na darasa langu linalopatikana online, kupitia darasa hilo utajifunza masomo mbalimbali kama vile Microsoft Word, Excel, graphics design, jinsi ya kutengeneza blog, jins ya kutengeneza website, jinsi ya kuagiza vitu kutoka china. gharama za masomo haya zinatofautiana kulingana na aina ya somo.
masomo.yote yanatolewa kwa njia ya video(tutorials) hatua kwa hatua, na usipoelewa unaruhusiwa kuuliza chochote.
kama unahitaji nichek kwa email yangu mjuzishule@gmail.com.
twende darasani
- nenda.sehem ya ku search andika CMD halafu right click kisha chagua Run as administrator.
- andika netsh wlan show profile
- andika netsh wlan show profile WiFi-name key=clear
mfano kama wifi yangu inaitwa Watu makini nitaandika
netsh wlan show profile watu makini key=clear
4. katika sehemu imeandikwa security settings, in the ‘key content’, utaiona password ya hiyo wifi au wirless.
0 Maoni