kupitia somo hili tutajifunza jinsi ya kifanya computer yako iongee, au isome kila neno unaloliandika. nafikiri inaweza kuwa msaada mkubwa kwa wale mnaofanya research ambao hamjui mfanyaje ili uweze kuisikiliza research yako na kujua makosa ya uandishi kirahisi.
kabla sijaanza somo hili niseme mambo machache.
1. kama unahitaji kujifunza masomo mbalimbali ya computer kwa undan zaidi basi nakushauri jiunge na darasa langu linalopatikana online, kupitia darasa hilo utajifunza masomo mbalimbali kama vile Microsoft Word, Excel, graphics design, jinsi ya kutengeneza blog, jins ya kutengeneza website, jinsi ya kuagiza vitu kutoka china. gharama za masomo haya zinatofautiana kulingana na aina ya somo.
masomo.yote yanatolewa kwa njia ya video hatua kwa hatua, na usipoelewa unaruhusiwa kuuliza chochote.
kama unahitaji nichek kwa email yangu mjuzishule@gmail.com.
twende darasani
Hili linaweza kufanikiwa kwa kufuata hatua zifuatazo.
- Fungua Notepad
- Copy and paste hizi code hapa chini kama zilivyo, usongeze chochote wala kupunguza.
Dim Message, Speak
Message=InputBox("Enter text","Speak")
Set Speak=CreateObject("sapi.spvoice")
Speak.Speak Message
3. bonyeza neno file linalopatikana juu upande wa kushoto, kisha chagua save as, then kwenye save as types chagua all type, kisha seh ya file name andika jina lolote kisha weka .vbs mbele, mfano speak.vbs
4. hapo utakuwa umemaliza, sasa utaona hiyo notpad imetengeneza kitu kama ki program hivi, ambacho ukikifungua utaona kinakuletea sehem ya kuweka maneno, kila neno utakaloliweka hapo na kubonyeza OK basi computer yako italisoma
IMEANDALIWA NA
OBBY MJUZI
KUTOKA WATU MAKINI TECHNOLOGIES
0 Maoni