Wanakwetu salaam.leo nimeona nikushirikishe somo hili rahisi, ambalo naamin litakuwa msaada mkubwa kwako. watu wengi tumekuwa tunataman ku reset simu zetu kutokana na matatizo mbalimbali iliwemo kusahau password na mengine mengi. kabla sijaanza somo hili niseme mambo machache.1. kama unahitaji kujifunza masomo mbalimbali ya computer kwa undan zaidi basi nakushauri jiunge na darasa langu linalopatikana online, kupitia darasa hilo utajifunza masomo mbalimbali kama vile Microsoft Word, Excel, graphics design, jinsi ya kutengeneza blog, jins ya kutengeneza website, jinsi ya kuagiza vitu kutoka china. gharama za masomo haya zinatofautiana kulingana na aina ya somo.masomo.yote yanatolewa kwa njia ya video hatua kwa hatua, na usipoelewa unaruhusiwa kuuliza chochote.kama unahitaji nichek kwa email yangu mjuzishule@gmail.com
njia hii inaweza kutumika kwa simu zote zenye android inayoanzia 5 na kuendelea.
baada ya kufanya hard reset kama tulivyojifunza kwenye somo lililopita ( kama hujalipata pitia kwenye app yangu utaliona)
1.basi washa simu yako halafu subiri mpaka itakapokuletea sehemu ya kuchagua lugha, chagua lugha halafu bonyeza next
2. iunganishe simu yako na WIFI yoyote iliyo jirani( unaweza kuweka hata hotspot ya simu ya jirani yako)
3. baada ya kuunganisha tu utaombwa google account
4. shikilia sehem ya kuandika text kama vile tunavyofanya tukitaka ku copy mpaka keyboard ije
5. bonyeza na u hold alama ya @ mpaka setting menu itokee
6. chagua google keyboatd settings
7. chagua vidoti vitatu vilivyo pale juu upande wako wa kulia
8. chagua neno limeandikwa "Help & feedback" kisha chagua kitu chochote kwenye list
9. kutokea kwenye sehem ya help chagua sehemu imeandikwa tumia google keyboard
10. shikilia maandishi yoyote kwa muda kisha chagua websearch katika upande wa kulia juu
11.sehemu ya kusearch itatokea, futa maandishi yaliyopo kwenye sehem ya kusearch
12.andika setting katika sehemu ya kuserach
13. shuka chini mpaka sehem wameandika about us na ushikirie
14.ingia kwenye menu then tafuta build number. ibonyeze mara 7 ili kuruhusu DEVELOPER OPTIONS
15. Rudi nyuma halafu bonyeza Developer option
16. bongeza OEM UNLOCKING kisha bonyeza batani ya back mara mbili.
17. i restart simu yako.
18. iunganishe kwenye WIFI tena
19.hapo sasa weka email yako nyingine
20. hapo umemaliza
0 Maoni