IJUE MICROSOFT WORD

ONLINE CLASS NI NINI?
online class ni darasa lilioanzishwa na OBBY MJUZI kutokana na maoni ya wafuatiliaji wa channel yangu ya youtube na makala zangu za teknolojia.
wengi waliomba nifundishe mambo ya teknolojia kwa undani kwa njia ya videos (tutorials) nami nikaona sio mbaya kuanzisha darasa hili kwa lengo la kufundisha mambo kiundani.

KWENYE ONLINE CLASS KUNA MASOMO GANI?
kwenye online class kuna masomo mengi sana kulingana na mahitaji ya mtu husika.
baadhi ya masomo yaliyopo ni haya hapa
Microsoft word 
microsoft excel
graphics design
website development
website designing
database
jinsi ya kutengeneza blog
jinsinya kununua bidhaa mtandaoni
php
java
na mengine mengi.

DARASA HILI LINATOLEWAJE?
Darasa hili linatolewa kwa njia ya video yaan tutorials, ambazo zinaelezea somo kwa undani hatua kwa hatua, pia mtu anaruhusiwa kuuuliza chochote anachohisi hajaelewa nami nikampa ufafanuzi wa maandishi au nikafanya video ya kumfafanulia kwaajili yake.
pia darasa hili halitolewi youtube bali linatolewa kwenye private akaunti yangu, ambapo mtu ukishalipia basi unanipa email yako nami nakuunga kwenye darasa unalotaka, uzuri wa darasa hili ni hakuna kuchelewa, yaan unaweza ukajiunga muda wowote ukiwa tayari kwasababu kila mtu anaweza kuanza kwa mda anaotaka yeye.

GHARAMA ZA KUJIUNGA NA ONLINE CLASS ZIPOJE?
gharama hutofautiana kulingana na somo mtu analotaka, kama ifuatavyo
Microsoft word                       TSH 30,000/=
microsoft excel                       TSH 50,000/=
graphics design                      TSH 50,000/=
website development             TSH 50,000/=
website designing                  TSH 50,000/=
database                                  TSH 50,000/=
jinsi ya kutengeneza blog    TSHS 20,000/=
jinsi ya kununua bidhaa mtandaoni  10,000 TSHS

kwa unaehitaji kujiunga wasiliana nami kwa namba 0753217400 au 0629112238
#jifunze_kila_kitu_jifunze_kila_siku
imeletwa kwenu na
OBBY MJUZI
kutoka WATU MAKINI TECHNOLOGIES.

Chapisha Maoni

0 Maoni