Wanakwetu habari, naitwa obby mjuzi kutoka watu makini Technologies
leo nitakwenda kushare na nyinyi somo hili dogo. kimsingi computer nyingi zinazotumia OS za windows huwa zinakutwa na matatzo mbali mbali yanyopelekea kushindwa kufanya kazi vizuri, machache kati ya mengi ni, kishindwa kuninstalll baadhi ya software, baadhi ya software kushindwa kufunguka, pc kuwa nzito, picha za video kuwa mbaya, na matatizo mengine mengi.
kabla hatujaendelea niseme mambo kadhaa.
1.kwa unaehitaji kujifunza mambo ya computer kwa undani jiunge na darasa langu la online kwa gharama nafuu. ndani yake kuna masomo kama jinsi ya kutengeneza blog, jinsi ya kutengeneza website, microsoft word, excel, power point, publisher, graphics design, jinsi ya kununua vtu mtandaoni, database, na menginee mengi. masomo yanafundishwaa kwa njia ya video hatua kwa hatua na usipoelewa unaruhusiwa kuuliza chochote. unaehitaji wasiliana nami kwa email au namba zipo chini hapo
2. kwa unaehitaji website za kisasa, nembo, blog, flyers,posters, business cards, id cards, brochures, mabango, kuprint tshirts na huduma zote za designing wasiliana nami.
tuendelee.
sasa hapa zipo njia kadhaa za kutatua tatizo hilo.
a).UPDATE DRIVER ZOTE ZA COMPUTER YAKO
hii ni moja ya njia rahisi ya kutatua matatzo mengi ya computer, jinsi ya kufanya
1. ingia google.com, kisha search software inaitwa driver pack solution
2.fungua website yao kisha chagua install all required drivers ( hii hapa https://drp.su/en)
3.itadownload kisha utaai run kama unavyofanya software nyingne(hakikisha uwe kweny internet)
4.itachukua muda wa dk 20 mpaka 45 kulingana na wingi wa drivers.
5. ikimaliza restart computer yako na utashangaa matatizo mengi yakijitibu yenyewe
b).UPDATE WINDOWS YAKO
hii ni njia ya pili ambayo inaweza kutatua matatizo ya computer yako. watu wengi huwa hawataki kuirusu windows ijiupdate, kimsingi ni kwamba ni vzur kujiruhusu windows iji update ili kila hardware iweze kufanya kaz yake vzuri. hii unaweza kuifanya kwa kufata hatua zifuatazo
1.bonyeza windows button kisha sehem ya kusearch andika windows updates.
2. itakuja hapo ifungue kisha chagua chek for updates( kama ikigoma kucheck for updates kweny somo lijalo nitaelekeza namna ya kutatua tatzo hilo)
3. ikimaliza kuchek itainstall na itakuomba urestat computer yako,
4. hapo itatumia muda wa dakika kadhaa ku update windows, ikimaliza itawaka na utashangaa kuona computer yako ipo vzuri.
5.kama njia hizo zote hazitasaidia basi usikose somo lijalo maana ntaelezea njia mbili zaidi.
pia ntaelezea jinsi ya ku activate windows zote kirahisi
ASANTE
#Jifunze_kila_kitu_jifunze_kila_siku
.IMEANDALIWA NA
OBBY MJUZI
+255753217400
mjuzishule@gmail.com
WATU MAKINI TECHNOLOGIES
0 Maoni