JINSI YA KUIPONYA SIMU INAYO ZIMA ZIMA au SIMU INAYOKATA NETWORK


wanakwetu habari. Leo nimeona nishare nanyi somo hili ikiwa ni mwendelezo wa somo nililowahi kulitoa la jinsi ya kureset simu.
Kabla ya hilo niseme Mambo machache..
1.kama unataka kuwa mtaalam wa computer yan ujifunze mambo ya computer kwa undani basi jiunge na darasa ninalofundisha, masomo yanatolewa kwa njia ya video hatua kwa hatua kwa gharama ndogo sana.

Ndan kuna masomo kama jinsi ya kutengeneza blog, website development,website designing,graphics & designing, java, php, microsoft office, internet,computer application,computer maintanance(jinsi ya kuweka windows,kuweka software, matatzo makuu ya computer na jinsi ya kuyatatua, na mengine mengi.
2.pia kwa unaetaka kutengenezewa blog au unablog yako unahitaj kuiboresha au unahitaji logo kwaajil yako au ya company au ya website au ya blog yako, au ya kikundi chenu nicheki *obby mjuzi*, Kwa maelezo zaid wasiliana nami ka email mjuzishule@gmail.com au namba 0753217400
(WAPE TAARIFA)

Tuendelee..
Watu wengi tumekuwa tukimiliki simu za android. Na mara tu simu inapodondoka au kupigwa shot au nyingne huanza tatzo la kutokuwa na network ghafla tu.
Zipo njia nyingi za kusolv tatzo hilo.
1.fanya hard reset,
 ( nimewahi fundisha hili download app yangu utalipata)
2. Root simu yako na u upgrade firmware yako
(Hili somo nimefundisha kwa watu wa online class kwa gharama ndogo)
3.nenda kaflash simu yako(japo hii sishauri sana)
Endapo umetumia njia zote hizo zimeshindwa leo nitakupa altenative itakayomaliza kabisa tatzo hilo.
Nenda playstore download app inaitwa REIMAGE CLEAN.
app hii huwa inatumika kuweka system ya simu yako katika hali sahihi. 
Inaondoa matatzo mengi ya simu ikiwa ni pammoja na kuifanya iwe faster.
Ukiifata maelezo yangu vizuri  naamin simu yako itapona na haitazima zima tena.

*IMEANDALIWA NA*
obby mjuzi©2017
*watu makini*

Nitapenda kama utashare kama ilivyo

Chapisha Maoni

0 Maoni