wanakwetu habari. leo nmeona nishare nanyi somo hili dogo, hii ni kutokana na maswali mengi niliyotumiwa kwa email yangu, pia kama unaswali lolote la teknolojia ambalo ungependa niliongelee usisite kunitumia kwa email yangu mjuzishule@gmail.com.
KABLA ya somo niseme machache.
1.kama unahitaj masomo ya computer kwa undani zaidi unaweza kujiunga na darasa langu la online kwa gharama nafuu
ndani yake kuna masomo kama jinsi ya kutengeneza blog, jinsi ya kutengeneza website, jinsi ya kununua bidhaa online, microsoft excel, microsoft word, Graphics design na mengine mengi.
kwa unaehitaji nichek kwa namba 0753217400
TUENDELEE
kama umependa video au picha ya mtu basi huna haja ya kumwambia akurushie maana unaweza chukua mwenyewe kwa kufata hatua hizi rahisi.
1.Nenda kwenye file manager
2.tafuta folder limeandikwa whatsapp
3.likifunguka chagua folder limeandikwa media
4.nenda kweny option,(kwa simu nyingi huwa wanaweka vimistari vitatu au vidoti vitatu upande wa kulia chini au upande wa kushoto,) (kwa simu za tekno utaona kama kialama cha jicho bonyeza hicho
6.utaina sehem wameandika "show hidden files) bonyeza hapo kisha rudi nyuma utaona folder jipya juu limeandikwa STATUSES.
7. ukifungua humo utaona picha na video zote zilizowekwa status na rafiki zako.
hapo unaweza zihamisha nabkufanya unachotaka.
ASANTE.
IMEANDALIWA NA
OBBY MJUZI KUTOKA WATU MAKINI
#jifunze_kila_kitu_jifunze_kila_siku
NITAPENDA KAMA UTASHARE JINSI ILIVYO
0 Maoni