JINSI YA KUBOOT COMPUTER YAKO KWENYE SAFE MODE KWA WINDOWS ZOTE


*Na obby mjuzi*
Wanakwetu habari, leo nimeona nishare nanyi somo hili dogo, hii ni kutokana na maswali mengi ninayopokea kutoka kwa wanakwetu wanaofatilia masomo yangu kwenye website yangu,mjuzishule.tech, pia kama wewe unaaswali lolote niitumie kwa emil yangu obbymjuzi@gmail.com nami ntayajibu kadiri ninavyoweza, lengo ni kuelimishana kuongeza maarifa kwenye technology.
Kabla ya kuanza somo hili niseme mambo mawili.
1.tembelea youtube channel yangu ili uweze kujifunza mambo mbalimbali ya computer kwa njia ya video, ingia youtube.com na usearch OBBY MJUZI. masomo haya yote ni bure kabisa, usisahau ku subscribe.
2. Kama unataka kujifunza mambo ya computer kwa undani jiunge na darasa ninalofundisha online, darasa hili linahusisha watu wa aina zote pia watu wa sehemu zote, uwe umesoma IT au hujasoma, masomo yanatolewa kwa njia ya video hatua kwa hatua, muda na gharama hutofautiana kulingana na somo husika. Ndani kuna masomo kama
*Jinsi ya kutengeneza blog
*Graphics and designing
*Website development(HTML)
*Website designing (CSS)
*JAVA
*PHP
DATABASE
Microsoft office
Ø Microsoft word
Ø Microsoft excel
Ø Microsoft power point
Ø Microsoft publisher
Ø Microsoft access
Kwa unaehitaji kujiunga nicheki kwa email obbymjuzi@gmail.com au namba 0753217400
Tuendelee……..

watu wengi tumekuwa tukitaman kuboot computer zetu kwenye safe mode ili kutatua matatzo mbalimbali, ikiwemo  tatizo la virus.
nimewah kutoa somo la jinsi ya kuiwaondoa virus aina ya malware.
huu ni mwendelezo wa ufafanuzi wa somo hilo maana watu wengi waliniomba niwaelekeze jinsi ya kuboot kwenye safe mode. kwa kufata hatua hizi rahisi utaweza kufanikiwa
1. bonyeza windows button na R kwa pamoja
2.andika msconfig kisha bonyeza ENTER 
3. nenda kwenye boot
4.weka tick kwenye safe mode
5.bonyeza ok itakuomba kurestart, iruhusu irestart
6.itazima na kuwaka, ikiwaka itaenda mojakwamoja kwenye safe mode

ASANTE

IMEANDALIWA NA 
OBBY MJUZI 
WATU MAKINI 
0753217400
mjuzishule@gmail.com

NITAPENDA KAMA UTASHARE JINSI ILIVYO

Chapisha Maoni

0 Maoni