.
wanakwetu salaam, leo nimeona nikupe somo hili
rahisi ambalo naamini litakusaidia sana.
watu wengi huwa wanatamani sana ku download videos
za youtube lakini huwa hawapati njia rahisi ya kufanya hivyo. kimsingi zipo
software nyingi ambazo zinaweza kidownload videos za youtube iwe kwa simu au
kwa pc, kwa upande wa simu kuna software kama tube mate, wakati kwa upande wa computer
kuna softwares kama Internet download manager.
leo nitakuelekeza jinsi ya kudownload videos hizi
bila kutumia software yoyotw na unaweza kuziweka kwenye format yoyote unayotaka
wewe.
twende pamoja.
NJIA YA KWANZA.
1. nenda youtube kwa kutumia browser yako mfano wa browser
ni OPERA, CHROME, FIRE FOX na nyingine nyingi.
2. ukishaingia youtube tafta video unayotaka
kuidownload halafu i click(ibonyeze) ikianza ku play pale juu utaona kitu kama
hiki, www.youtube.com/jsbhsksj
3. sasa baada ya www. weka neno VD halafu maneno
mengine yabaki kama yalivyo. mfano www.youtube.com/gskksjs ISOMEKE www.vdyoutube.com/jsbhsksj
halafu bonyeza enter au sehem ya kusearch.
4. itafunguka page mpya ambayo ina hiyo video na
sehem mbalimbali za kudownload.
5. bonyeza format unayotaka itaanza kudownload
NJIA YA PILI
1. nenda youtube kwa kutumia browser yako mfano wa browser
ni OPERA, CHROME, FIRE FOX na nyingine nyingi.
2. ukishaingia youtube tafta video unayotaka kuidownload
halafu i click(ibonyeze) ikianza ku play pale juu utaona kitu kama hiki, www.youtube.com/jsbhsksj
3. sasa baada ya www. weka neno SS halafu maneno mengine yabaki kama yalivyo. mfano
www.youtube.com/gskksjs ISOMEKE www.SSyoutube.com/jsbhsksj halafu bonyeza enter
au sehem ya kusearch.
4. itafunguka page mpya ambayo ina hiyo video na sehem
mbalimbali za kudownload.
5. bonyeza format unayotaka itaanza kudownload
NJIA YA TATU
1. nenda youtube kwa kutumia browser yako mfano wa browser
ni OPERA, CHROME, FIRE FOX na nyingine nyingi.
2. ukishaingia youtube tafta video unayotaka kuidownload
halafu i click(ibonyeze) ikianza ku play pale juu utaona kitu kama hiki, www.youtube.com/jsbhsksj
3. sasa baada ya www. weka neno 9X halafu maneno mengine yabaki kama yalivyo. mfano
www.youtube.com/gskksjs ISOMEKE www.9xyoutube.com/jsbhsksj halafu bonyeza enter
au sehem ya kusearch.
4. itafunguka page mpya ambayo ina hiyo video na sehem
mbalimbali za kudownload.
5. bonyeza format unayotaka itaanza kudownload
NJIA YA NNE
1. nenda youtube kwa kutumia browser yako mfano wa browser
ni OPERA, CHROME, FIRE FOX na nyingine nyingi.
2. ukishaingia youtube tafta video unayotaka kuidownload
halafu i click(ibonyeze) ikianza ku play pale juu utaona kitu kama hiki, www.youtube.com/jsbhsksj
3. sasa baada ya neno youtube. weka neno PP halafu maneno
mengine yabaki kama yalivyo. mfano www.youtube.com/gskksjs ISOMEKE www.youtubePP.com/jsbhsksj
halafu bonyeza enter au sehem ya kusearch.
4. itafunguka page mpya ambayo ina hiyo video na sehem
mbalimbali za kudownload.
5. bonyeza format unayotaka itaanza kudownload
MWISHO.
Ni matumaini yangu kwamba somo hili litakuwa msaada
kwako na kwa wengine.
kwa ujanja kama huu wa computer na simu download app
yangu playstore inaitwa OBBY MJUZI
naitwa
OBBY MJUZI
CEO
WATU MAKINI TECHNOLOGIES

0 Maoni