JINSI YA KUWATOA VIRUS AINA YA MALWARE.


Habari ya leo mwanakwetu. Leo nimeona nishare nanyi somo hili dogo. Ni matumaini yangu litakuwa na msaada kwa wote maana wengi husumbuliwa na tatzo hili. Malware ni moja ya virus wabaya kabisa.
Wanauwezo hata wa kula mafile yako yote.
Mara nyingi virus hawa huwa tunawachukua kutoka mtandaoni either kwa kujua au kwakutojua.
ZIFUATAZO NI NJIA WANAZOTUMIA KUINGIA KWENYE COMPUTER YAKO.
1. pale unapokuta tangazo la offer wanakwambia click here to win au click here to view au click here to claim na jumbe nyingne kama hizo
2. Pale unapotaka kudownload kitu na ghafla unapokea ujumbe your pc is runing slow click here to increase. Au your computer has virus click here to remove.
3. Pale unapodownload program kwenye website ambazo sio safe. Unaambiwa clik here to download na wewe unaclick halaf haupat software yoyote au wimbo wowote
4. Pale unapotumiwa email kutoka kwa mtu ambae humfaham na mara tu unapofungua computer yako inazima au kila kinachofunguka kinafunguka kama microsoft word. Au kila unachofungua kinafunguka kama VLC . au vtu vifananavyo na hivyo.
Hapa ndipo unakutana na tatizo kwamba kila unapoingia kwenye mtandao unakutana na matangazo meengi mengine yasiyo na maadili. Pia unaweza ukaiona pc yako iko slow na inachemka saaana.
Haya yote huweza kusababishwa na hawa MALWARE.
simaanishi kwamba hii ni sababu pekee hapana ila kwa kiasi kikubwa huwa ni sababu.
JINSI YA KUWATOA NA KUJILINDA.
Fuata hatua hizi rahisi kuweza kuwaondoa 
1. Izime computer yako direct(kwa kubonyeza sehem ya kuwashia)
2. Iwashe na uachague safe mode with networking
(tumia mishale ya kushuka chini mpaka kwenye hiyo option then bonyeza enter)
3. Ukiingia ndani connect na internet then ingia kwenye mtandao . nenda google.com na uandike malware bytes then enter.
4. Chagua website ya malware bytes ambayo ni malwarebytes.com.
Mara nyingi huwa inakuwa ya kwanza.
5. Ikifunguka utaona sehem wameandika  download bonyeza hapo then free download then  fata maelekezo
6. Ukimaliza kudownload install na ufanye full scanning.
7. Itatumia dakika 10 hadi 30 kulingana na uwingi wa vitu kwenye computer yako. 
8. Ikimaliza itakuletea message kuna malware imedetect, wadelete na u finish.
9. Itakuomba kurestat irestat na hapo utakuwa safe kabisa.
NB
malware bytes ni moja ya anti virus bora kabisa kwasababu ukiingia kwenye website yenye virus haitafunguka itakupeleka kwenye website ya malware bytes hivyo utakuwa safe

ALTENATIVE.
unaweza idownload malware bytes kwa njia ya kawaida na ukaizima pc yako direct then ukaiwasha na kuchagua safe mode.
Hapocutaingia ndani na kui install then ukafanya full scanning ya computer yako na ukafata hatua zile za scanning pale juu..ASANTE
>>>MWISHO<<<<
IMEANDALIWA NA OBBY MJUZI©2016

Kwa tricks mbalimbali za computer download APP YANGU ipo PLAYSTORE inaitwa OBBY MJUZI pia tembelea youtube channel yangu na usubscribe ili uwe unapata masomo kwa njia ya video mara tu ninapoyaweka.
Nenda youtube.com na uandike obby mjuzi .

##WATUMAKINI
NITAPENDA KAMA UTASHARE JINSI ILIVYO

Chapisha Maoni

0 Maoni