JINSI YA KUTUMIA SIMU YOYOTE YENYE BLUETOOTH NA INTERNET KAMA MODERM

imeandikwa na OBBY MJUZI kutoka WATU MAKINI TECHNOLOGIES.

watu wengi tumekuwa tukihangaika na internet. Ni ukwel usiopingika internet ni muhim sana kweny maisha yetu ya sasa coz kazi nyingi zinaendeshwa na mtandao(internet)
Zipo njia nyingi zinazoweza kukupa internet kweny computer yako.
Chache kati ya nyingi ni kwa kutumia moderm ,router, wirless cables, hotspot etc.
inawezekana ukawa huna hivyo vyote na unashida sana ya mtandao. 
LEO NATAKA NIWAPE NJIA TOFAUTI NA RAHISI KABSA.
nayo ni kupata access ya internet kwakutumia SIMU YENYE BLUETOOTH.
kabla ya somo niseme mambo machache.
1.kama unahitaji huduma mbalimbali za designing na it  kama kutengenezewa website, blog, nembo, flyers, posters, business cards, id, kadi za harus na huduma nyingine wasiliana nami kwa namba 0753217400.
2.kama unahitaj kujifunza mambo ya teknolojia kwa undani na kwa urahisi nakushauri jiunge na darasa langu la online ambalo linafundisha masomo mbalimbali kwa njia ya video hatua kwa hatua, ndan yake kuna madarasa kama jinsi ya kutengeneza blog, website designing, graphics design, jinsi ya kununua vitu mtandaoni, microsoft word, excel, powerpoint na publisher, gharama hutofautiana kulingana na somo husika.

tuendelee
ili kuweza kutumia simu yako yenye bluetooth kama modem Fata hatua hizi kwa usahihi.
1. Washa Bluetooth ya laptop au desktop na ya simu yako.(kama computer haina Bluetooth nenda kweny website ya kampuni husika kisha search drivers utadownload bluetooth na kuinstall)
2. Nenda kweny bluetooth ya computer yako na u right click then chagua sehem wameandika 
"add device"
3. Ukiclick hapo utaiona blutooth ya simu yako hapo
 ( utaona jina la blutooth,). Ichague kwa kuiclick then bonyeza "next" hapo itarespond kweny sim yako na utaalow pairing
4. Funga hyo page then rud tena kweny blutooth ya conputer yako halaf right click then chagua "show blutooth devices"
Hapo utaiona ile uliyoiad, i right click then chagua "connect using access point" 
5. Hapo utakuwa umemaliza na utaweka kupata access ya internet inayofanana kabisa na ile ya hotspot .
Kumbuka sio lazma uwe na smartphone.
Hata simu ndogo kabsa zinaweza fanya kazi vizuri swala tu ziwe na uwezo wa kuingia google. ukiwa na swali lolote nitumie kwa email yangu hapo chini nami nitakujibu kwa kadili ya uwezo wangu wote.

#jifunze_kila_kitu_jifunze_kila_siku
ASANTE

IMEANDALIWA NA 
obby mjuzi ©2016
WATU MAKINI TECHNOLOGIES
mjuzitricks@gmail.com
👆
NITAPENDA KAMA UTASHARE JINSI ILIVYO

Chapisha Maoni

0 Maoni