_*Na obby mjuzi*_
Wanakwetu habari, leo nimeona nishare somo hili muhimu.
Kabla ya somo hili niseme neno moja.
KAMA UNAHITAJI kujifunza mambo mbalimbali ya computer kwa njia ya video hatua kwa hatua(tutorials) jiunge na darasa ninalofundisha. Huko kuna masomo kama
Jinsi ya kutengeneza blog
Website development( HTML)
Website designing( CSS)
JAVA
PHP
Graphics & designing
Microsoft word
Microsoft excell
Microsoft power point.
micro piblisher na mengine mengi.
Gharama na muda wa kumaliza hutofautiana kulingana na aina ya somo husika.
*tuendelee
Antivirus ni moja ya kitu muhim sana kwenye computer yako, hii ni kutoka na ukwel kwamba, hii inailinda computer yako kutokana na virus mbalimbali wenye uwezo wa kuharibu computer yako.
Sasa leo tutajifunza jinsi ya kutest ubora wa anti virus yako na kujua kwamba je hiyo antivirus ni bora au ipo kama pambo?
Hapa tutatumia hatua zifatazo.
1. Nenda search ya computer yako na uandike Notepad.
2. Iclick ifunguke na kisha andika
Code hizi kama zilivyo
( ikiwezekana copy na upaste)
Andika
👇🏼
X5O!P%@AP[4\PZX54(P^)7CC)7}$EICAR-STANDARD-ANTIVIRUS-TEST-FILE!$H+H*
3. Nenda kwenye file then changua save as
Then andika hivi
EICAR.COM
4. funga notpad yako. Mara baada tu ya kufunga notepad, antivirus yako itadetect hicho ulichokisave kama *virus*
ANTIVIRUS YAKO IKISHINDWA KUDETECT BASI UJUE HAUNA ANTIVIRUS HAPO NI PAMBO TU.
>>>MWISHO<<<
Imeandaliwa na
*obbymjuzi©2016*
*watu makini*
mjuzishule@gmail.com
👆🏼
NITAPENDA KAMA UTASHARE JINSI ILIVYO.
0 Maoni