JINSI YA KUTENGENEZA FOLDER LISILOWEZA KUFUTIKA

Wanakwetu habari, leo nimeona nishare nanyi somo hili dogo ikiwa ni maombi ya watu wengi sana.
Watu wengi wamekuwa wakipata shida sana pale wanapohifadhi kitu kwenye folder na kukuta watu wamelifuta direct bahati mbaya au kwa makusudi.
Pengine wewe ni mmoja wao. Katika somo la leo ntakwenda kukupa ufumbuzi wa tatzo lako.

Pia ungana nami kwenye online class kwa masomo mbalimbali ya computer kwa njia ya video hatua kwa hatua.
Kuna somo kama
JINSI YA KUTENGENEZA BLOG
HTML
GRAPHICS  DESIGN
CSS
MICROSOFT OFFICE
na mengine mengi
Kwa maelezo zaid wasiliana nami kwa email: mjuzishule@gmail.com
*HATUA*
 _Fuata hatua hizi rahisi kufanikisha hilo_
1. Bonyeza windows button na R kwa pamoja kisha
2.andika cmd then ENTER
3. Kitatokea kipage cheusi chenye maandishi meupe( hicho ndo huitwa command prompt au CMD.
ALTENATIVE
Nenda sehem ya kusearch na uandike cmd then utaiona iclick ifunguke
4. Andika drive ambayo unataka hilo folder likae
Mfano kama nataka liwe kwenye local disk D basi ntaandika
D: then ENTER
5. Andika command hizi kama zilivyo
md con\ 
then ENTER.
6. hapo utakuwa umetengeneza FOLDER ambalo mtu hataweza kulifuta hata afanye nini. (Utalikuta limeandikwa con
Kwenye local disk utakayokuwa umeachagua

*JINSI YA KULIFUTA*
1.rudi kwenye cmd na ufate step zote had step ya 4. 
Then step ya 5 andika command hizi
rd con\
Hapo utakuwa umelifuta.
IMEANDALIWA NA
obby mjuzi©2016
*>>>ASANTE<<<*
*WATU MAKINI*

Nitapenda kama utashare jins ilivyo👆🏼🙏🏽

Chapisha Maoni

0 Maoni