JINSI YA KUONDOA VIRUS AINA YA SHORTCUT BILA KUTUMIA ANTI VIRUS YOYOTE

Uhali gani mwanakwetu? Ni matumain yangu kwamba u mzima wa afya na majukumu yanaendelea.
Leo nimeiona nishare nawe somo hili dogo. Hii ni kutokana na maswali mengi nnayopokea kutoka kwa wafatiliaji wa masomo mbalimbali kwenye app yangu pia kwenye youtube channel yangu
(channel yangu inaitwa obby mjuzi kwa msoijua, ukisearch youtube tu utaiona ).
Ni matumaini yangu litakufaa na wewe pia.
kabla sijaanza somo hili niseme mambo machache.
1. kama unahitaji kujifunza masomo mbalimbali ya computer kwa undan zaidi basi nakushauri jiunge na darasa langu linalopatikana online, kupitia darasa hilo utajifunza masomo mbalimbali kama vile Microsoft Word, Excel, graphics design, jinsi ya kutengeneza blog, jins ya kutengeneza website, jinsi ya kuagiza vitu kutoka china. gharama za masomo haya zinatofautiana kulingana na aina ya somo.
masomo.yote yanatolewa kwa njia ya video hatua kwa hatua, na usipoelewa unaruhusiwa kuuliza chochote.
kama unahitaji nichek kwa email yangu mjuzishule@gmail.com.
twende darasani

Shortcut virus ni moja ya virus wanaokera sana! Hawa huweza kushambulia flash memory card au hata computer.
Hii hutokea pale unaposave vitu  kweny flash ana unapokuja kuvitazama upya unakutana na shortcuts tu. Leo nitafundisha njia 3 na nikipata muda nitakupa nyingine tatu then nikipata tena muda nitakupa nyingine  3. Nadhani zitakutosha. Karibu twende sote.
JINSI YA KUWAONDOA.
1. Nenda sehem ya kusearch (starup menu kweny pc yako) na uandike CMD then right click na uchague run as administrator.
2. Chagua herufi ya disk ambayo inavirus mfano
M.
Iandikwe hivi M: then ENTER
3. Andika dir then ENTER
4. Andika attrib -h -r -s /s /d  M:\*.* then ENTER
(M: hii jina la flash yako)
Hapo utawa umemaliza.

*ALTENARIVE 1*
Fungua notepad na upaste hiz code
@echo off
attrib -h -s -r -a /s /d M:*.*
(M: ni jina la drive au flash yako).
Nenda kwenye file then save as then irename kama REMOVE.bat na kwenye file type chagua all files.
Hapo itabadilika na kuwa simple software, ichukue ukaipaste kweny hiyo flash. Itoe flash na urestat computer yako.

*ALTENATIVE 2*
download software inaitwa USBFIX ni free software. Kisha fata maelekezo.
IMEANDALIWA NA 
*obby mjuzi©2016*
*>>>Watu makini<<<*
Tembelea blog yangu kwa tricks nyingne za computer mjuzishule.blogspot.com
👆🏼
NITAPENDA KAMA UTASHARE JINSI ILIVYO.

Chapisha Maoni

0 Maoni