Wanakwetu salaam, leo nimeona niwape somo hili rahisi ambalo linatokana na maswali kutoka kwa wafuatiliaji wa app hii, pia hata wewe kama una swali lolote nitumie kwa email yangu hii mjuzishule@gmail.com, nami nitaliandalia makala au video ili na wengine waweze kupata shule.
pia kama hujadownload app yangu nakushauri uende playstore na uitafute kwa jina hili OBBY MJUZI ili uweze kuinstall na kuwa karibu na teknolojia.
sas bila kupoteza muda twende darasani kwa kuanza na hatua moja kwa moja.
HATUA 1
ingia facebook na tafuta VIDEO unayotaka kuidownload
HATUA 2
angalia upande wa kulia mwa hiyo video utaona vidoti vitatu vibonyeze na uachague neno limeandikwa COPY LINK.
HATUA 3
toka hapo Facebook na uende kwenye Brower oyote iliyopo kwenye simu yako, browser inaweza kuwa OPERA, CHROME, UC BROWSER na nyingine nyingi
HATUA 4
fungua browser yako na u Paste ile link uliyoicopy facebook halsfu bonyeza enter au kitufe cha kuendelea.
HATUA 5
itakuletea option ya ku log in log in kwa kuingiza taarifa zako za facebook kwa usahihi, halafu itafungukja hio video unayotaka kuidownload,
HATUA 6
right click kama unatumia computer, ila kama unatumia simu i shikilie video kwa muda (hold) itakuja neno DOWNLOAD utaboneza download itaanza kudownload.
NB SOMO HILI PIA LIPO YOUTUBE KWA JIA YA VIDEO kwahyo BONYEZA PALE KUSHOTO JUU UTAONA SEHEMU WAMEANDIKA VIDEOS UKIBONYEZA ITAKUPELEKA YOUTUBE,
USISAHAU KU SCUBSCRIBE ili NIKIWEKA VIDEO MPYA UWEZE KUZIPATA

0 Maoni