asante kwa kutembelea blog yangu. BE kama bado hujadownload app yangu nakuomba uende playstore na kwemye sehem ya kusearch andika OBBY MJUZI.
kwa mnaoendelea kutuma maswali mbalimbali. napokea maswali mengi sana na nayaandalia majibu ya uhakika ili yawe na faida kwako na kwa wengine.. kama unaswali lolote linalohusiana na computer au simu nitumie kwa Email yangu mjuzishule@gmail.com nami ntakupatia majibu mazuri.
Katika somo la leo kama kichwa cha habari kinavyosema Tunajifunza jinsi ya kudouble internet speed ya computer yako kwa kutumia CMD. yana kama speed ya internet yako ni 20% itaongezeka na kuwa 40%. kama ni 100% itaongezeka na kuwa 200%. hii sio uongo.
FATA STEPS HIZI RAHISI
1. Nenda kwenye sehem ya ku search kwenye computer yako na andika cmd
2. chagua Run as administrator
3. Andika color a then ENTER
4. Andika cd/ then ENTER
5. Andika netsh int tcp show global then ENTER
6. Andika netsh int tcp set global chimney=enabled then ENTER
7. Andika netsh int tcp set global autotuninglevel=normal then ENTER
8. Andika netsh int tcp set global congestion provider=ctcp then ENTER
9. Andika netsh int tcp show global then ENTER
10. Restart computer yako
MWISHO
0 Maoni