*Na OBBY MJUZI*
wanakwetu habari. Leo nimeona nishare nanyi somo hili, hii ni kutokana na maswali mengi niliyopokea kutoka kwa watu wanaotembelea blog yangu.
Kabla ya hilo niseme Mambo machache..
1.Kama unataka tricks kama hizi download app yangu ipo playstore inaitwa OBBY MJUZI
hapo utapata trcks za simu na computer.
2.kama unataka kuwa mtaalam wa computer yan ujifunze mambo ya computer kwa undani basi jiunge na darasa ninalofundisha, masomo yanatolewa kwa njia ya video hatua kwa hatua kwa gharama ndogo sana.
Ndan kuna masomo kama jinsi ya kutengeneza blog, website development,website designing,graphics & designing, java, php, microsoft word, internet, na mengine mengi,
Tuendelee...
Watu wengi wamekuwa wakipata shida jinsi ya save kazi zao kama pdf. Kumekuwa na software nying zinazotumika kufanya hivyo. Leo ntaelezea njia moja na rahisi ambayo kila mtu ataweza kuitumia. Hii ni kwa wanaotumia microsoft office 2007 na 2003. Kwa kesi ya office 2010 sitaongelea kwasababu yenyewe inauwezo huo tayari.
HATUA.
1.download hii software(addon) kupitia link hii hapa kisha install kwenye computer yako.
https://en.softonic.com/download/2007-microsoft-office-add-in-microsoft-save-as-pdf-or-xps/windows/post-download
2. Ukishaistall restart computer yako
3.ikishawaka fungua document unayotaka kuiconvert
4.nenda kwenye microsoft office icon(ipo juu upande wa kushoto)
5. Click na utafute sehem wameandika save as then chagua pdf
6.itachukua muda kulingana na ukubwa wa kazi husika.
7.hapo utakuwa umemaliza na utaipata kazi yako kama pdf.
*>>>ASANTE<<<*
IMEANDALIWA NA
*obby mjuzi©2016*
*obbymjuzi@gmail.com*
*WATU MAKINI*

0 Maoni