#Na Obby Mjuzi kutoka Watu Makini
Wanakwetu salam, leo nimeona mishare nnyi somo hili dogo ambalo naamini litakuwa msaada kwa wengi.
Kwa masomo mbalimbali ya computer na simu download app yangu ipo playstore inaitwa OBBY MJUZI.
Lakini kama unataka kujifunza mambo ya computer kwa undani zaidi jiunge na darasa langu ninalofundisha online kwa njia ya video kwa gharama ndogo sana.
Ndani yake kuna masomo kama jinsi ya kutengeneza blog, jinsi ya kutengeneza website, graphics design, microsoft word, microsoft excel, na megine mengi sana.
Popote ulipo unaweza soma haijalishi unalevel gani ya elimu.
Tuendelee....
Watu wengi wamekuwa wakitamani kubadil documents zao kuwa pdf au kutoka pdf kuwa word.
Zipo software na njia nying za online za kubadili pdf kuwa word. moja ya website maarufu kwa kufanya conversion ni ilovepdf.com. hii ina website ya bure kabisa.
Mimi pia nimewah fundisha jinsi ya kubali word kuwa pdf.
(Pita kwenye app yangu utaliona)
Leo nataka tuelekezane jinsi ya kubadili pdf kuwa microsoft word.
Neno PDF ni kifupivcha Neno PORTABLE DOCUMENT FORMART na wagunduzi wa hii fomat ni adobe.
Kwa kufata step hizi utaweza badili pdf kuwa word pasipo na shida yoyote.
STEPS.
1.ni lazima uwe na email, nenda kwenye browser yako(yaani program unayotumia kuingia internet mfano opera, mozira, google chrome na nyingne nying.
Hapa iwe kwa simu au kwa computer yote sawa.
2.andika google.com katika sehem ya kuweka link au andika sehem ya kusearch kisha bonyeza enter,
3.sasa sehem ya kusearch hapo kwenye google andika google drive bonyeza enter, itakuletea options chagua ya kwanza kabisa. Itakuomba ulogin kwa email yako kama tayar ulisha log in basi itakupeleka moja kwa moja kwenye google drive.
4. Nenda sehem ya upload file na ubonyeze hapo, (mara nyingi huwa upande wa kushoto juu)
itakupeleka kwenye computer au simu yako
5.chagua file unalotaka na ubonyeze open au enter, liache file liwe uploaded na likimaliza litaleta ujumbe na utaliona hapo kweny drive.
6.liclick na uende juu utaona neno action click na uchague open with microsoft word au google doc au doc.
7.litachukua muda mfupi kulingana na speed ya internet yako na litafunguka kweny mtindo wa word.
8.nenda kwenye file na uchague download file as microsoft word.
9.ukibonyeza tu litaanza kudownload na likimaliza unaweza kwenda kwenye computer yako na ukalifungua kama word
NB.
Uzuri wa njia hii ni kwamba unaeza badili hata pdf yenye mb 100 na ikakubali kuwa word, kinyume na njia nyingne ambazo zinalimit ukoubwa wa file..
ASANTE.
IMEANDALIWA NA
#Obby_mjuzi
#watu_makini
mjuzishule@gmail.com
TAFADHARI SHARE KAMA ILIVYO
0 Maoni