nimepokea maswali mengi ya watu wakisema wameshindwa zoezi hili. Baada ya kufanya utafiti nimegundua wengi huwa mnaziandika hizi code kwa staili mnayotaka nyinyi na kusahau kwamba hizi ni code, kinachotakiwa ni kuzicopy na kuzipaste.
Kabla ya hilo niseme Mambo machache..
1.Kama unataka tricks kama hizi tembelea blog yangu.
mjuzitricks.blogspot.com na download app yangu ipo playstore inaitwa OBBY MJUZI hapo utapata trcks za simu na computer.
2.kama unataka kuwa mtaalam wa computer yan ujifunze mambo ya computer kwa undani basi jiunge na darasa ninalofundisha, masomo yanatolewa kwa njia ya video hatua kwa hatua kwa gharama ndogo sana.
Ndan kuna masomo kama jinsi ya kutengeneza blog, website development,website designing,graphics & designing, java, php, microsoft word, internet,computer application.
nicheki *obby mjuzi*, Kwa maelezo zaid wasiliana nami ka email mjuzishule@gmail.com au namba 0753217400
(WAPE TAARIFA)
Tuendelee.
(Waliofanya hivyo wamefanikiwa)
Sasa twende pamoja kwa ufata hatua hizi rahisi.

1.(a)Nenda sehem ya kusearch na uandike notepad 
*AU*
(b) bonyeza windows button na R kwa pamoja then andika notepad then ENTER
2. ikifunguka notepad, copy hizi code kama zilivyo na u paste kwenye notepad

Dim speaks, speech
speaks="Welcome to your PC,Username"
Set speech=CreateObject("sapi.spvoice")
speech.Speak speaks
kwenye hilo neno USERNAME andika jina lako
3.nenda sehem imeandikwa FILE then chagua save as.

4.kisha uandike WELCOME.vbs then kwenye "save as type" chagua All Files kisha bonyeza save kisha funga

_kumbuka unapotaka kusave ni lazima ujue unasave wapi, maana tutalihitaji hilo file_

5.nenda uliposave hilo file na ulicopy. kisha nenda kwenye my computer then Local disk C:\documents and setting\All users\start menu\programs\startup
_(hii ni kwa wale wanaotumia windows XP) na upaste hilo file hapo_
*Au*
nenda Local disk C:\users(user-Name)\App Data\Roaming\Microsoft\Windows\start menu\programs\startup  _(hii ni ni kwa wanaotumia windows 7, na 8, 8.1) na upaste hilo file hapo_

hapo kwenye USER-NAME chagua jina la USER yan jina lako uliloliweka akati unaweka windows, utalikuta hapo limeandikwa pia utakuta na public. achana na public.

kumbuka kama unatumia windows 7 AppData hautaiona so unatakiwa uende kwenye search na uandike hidden folder na uchague show hidden folders baada ya hapo utafata step zote za juu kama zilivyo

6.nenda kwenye control pannel then "sound and devices", then "sound", then kwenye "sound scheme" chagua "no sound" kisha apply na ubonyeze OK
7. hapo utakuwa umemaliza restart computer yako.

IMEANDALIWA NA
*obby mjuzi*
##watumakini
kwa swali lolote wailiana nami kwa email:mjuzishule@gmail.com
👆🏼
NITAPENDA KAMA UTASHARE JINSI ILIVYO